Nacha ft Nay Wamitego - Moto (Official Music Video)

0 Просмотры
Издатель
#Nacha #Naywamitego

#Moto audio produced by kitonzo
mixed Mastered by CHIZAN BRAIN
Kiri Records Studios,Video Directed by beel in Dar Es Salaam Tanzania.

Follow Nacha on socials :

instagram

TikTok

Twitter

Facebook:

Listen To Nacha:

Apple Music:
Spotify:

Deezer:

Youtube:
Audiomack

Boomplay:


For Booking Contact: nachaousam17@

Lyrics:


(intro)

Aanhaa Nacha Na Baba Yaga Kwenye Hii

(Verse 1)

Toto za machizi kamatia,
wakinyea kambi kanyagia,
Soda na togwa no bia,
Ni uoga na Mbegu ili ikue namwagia,

Bapa mbona watalia,
Samatta Toka tanzania,
Nacha nacha kachanjiwa,
Kwaiyo basata na Nyinyi mtafungiwa,

Na lina babamba duderee,
Nyasubi Mpaka ndandanda kucheree,
Maradona ama pepere,
Utapata mashuzi umetakaga njegere,

Duh dude la Wanangu getto,
Ukonga segerea Mpaka keko,
Oya Wanangu tukutane sentro,
Wafungwa wametoka kucheza yani katikati,

(Chorus)

Acha Hili Goma litambee,bila maneno Kazi itaongea,
Yani Chuma Juu ya Chuma Ni cheechee,mbwa kala mbwa and we don't care,
Yani Tumewaka moto moto moto moto moto
Vichwa vimepata moto moto moto moto moto,

(Verse 2)

Eeiiy Stop, Jogoo Kashindwa kuwika,
Ni puturuu mkuyati ama ni nduru mang'ati,
Kweli mnachekesha,
Mnakuja na miko tusongee Maisha,

Natikisa, Aitheee,
Mpaka mandhethe kwa raithi kitheethee,
Ngoma ya moto nipozee,
Kati mtu Kati watu Kati Mpaka kuchee,

Na lina babamba duderee,
Nyasubi Mpaka ndandanda kucheree,
Maradona ama pepere,
Utapata mashuzi umetakaga njegere,

Duh dude la Wanangu getto,
Ukonga segerea Mpaka keko,
Oya Wanangu tukutane sentro,
Wafungwa wametoka kucheza yani katikati,


(Chorus)

Acha Hili Goma litambee,bila maneno Kazi itaongea,
Yani Chuma Juu ya Chuma Ni cheechee,mbwa kala mbwa and we don't care,
Yani Tumewaka moto moto moto moto moto
Vichwa vimepata moto moto moto moto moto,


(Outro)

Vina Ni-Attack Yes Cheza kidogo Cheza kidogo usinguse mwenzio,

Nyasubi Ndani Ya Mbanyu Bebe

We on top

Duh dude la Wanangu getto,
Butimba segerea Mpaka keko,
Oya Wanangu tukutane sentro,
Wafungwa wametoka kucheza yani katikati,

Moto moto moto moto
Vichwa vimepata moto moto moto moto moto
Категория
Байки
Комментариев нет.