MBEYA CITY 0-0 KMC: Mashambulizi moto ya Mbeya City yalivyodhibitiwa

0 Просмотры
Издатель
JUMA KASEJA: Hawajapata bao lakini wameshambulia kwelikweli; Haya ni baadhi ya mashambulizi ya moto kwenye lango la KMC kutoka kwa vijana wa Mbeya City;

Tazama shughuli aliyopewa golikipa Juma Kaseja huku akifanikiwa pia kulitetea ‘taulo’ lake ambalo lilitaka kuvamiwa na baadhi ya wachezaji wa Mbeya City.

Tazama hapa full highlights -


Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Категория
Байки
Комментариев нет.