AJALI YA MOTO YAUA WATU WA TANO WA FAMILIA MOJA

2 Просмотры
Издатель
Ni simanzi katika mtaa wa Pugu Station baada ya watu watano wa familia moja kufariki dunia baada ya kukosa oksijeni kufuatia ajali ya moto iliyotokea Oktoba 13, jijini Dar es Salaam.
Категория
Байки
Комментариев нет.